I was in form 2 by then, we had a certain class monitor na alikua na umama mwingi sana, the kind of men you would wish happy mothers day. Ungejipata uko kwa list ya noisemakers ata kama hauko class. There was even a time during the evening prep, i went to study from the library. So vile prep iliisha, we are on our way to class from the library. Kufika class tunapata teacher on duty na list ya noisemakers, niko saa hiyo number 2 kwa hiyo list yet sijakua class. Luckily alikua yule mode wa kuelewa, kama ingekua senior teacher ama depa, ningeona cha mtema kuni.
These prefects walikua na kale katabia ka kujipendekeza kwa walimu, wanajipea kazi na hawafanyi. So this class monitor akajipea duty ya ku make sure the library is always tidy, kisha this fine saturday morning, this class monitor comes, picks on me and my crew and instead of requesting ni kutulazimisha tukaclean library…makosa! Sisi tukaona huyu tutazoeana kama matako na chupi. We never went to do the cleaning. Come monday morning kijamaa kishakimbia staffroom kusema vile tulimdharau tukakosa kufanya kazi tulipewa, makosa! Mwenye anaambiwa naye ni mtiaji. Wacha atukujie, ata hakutaka kutuskiza, ilikua tu kutandikia leave out twende tukuje na mzazi the very day. Mark you mimi mzae ako mbali na ni wale wazae hawatakangi cases shule!
Singeeza leta mzae wangu apatane na uyo mode mtiaji. So mi nikadanganya uyo teacher kwetu si mbali na mzae ni village elder, lakini si kwa hii kijiji. Sa mi huyooo hadi the nearest town bado nawaza tu vile ntaelezea mzae iyo story, kidogo ivi nikiwa tu bado apo town nikaona kamzae kako rika ya budangu, nikajua baas, idea ikakuja nikamwendea.
Me: jambo mzee, nina shida na nahitaji usaidizi wako
Mzae: sijambo kijana, shida ni nini?
Me: nimeambiwa nipeleke mzazi shule na wazazi wangu wako mbali, utaeza kunisaidia?
I managed kuingiza uyo mzae box nkamsho nitamlipa na ata kulipia fare yake to and from school. Luckily alikua tu idler pale town and the mzee alikubalia kuniokoa. Sisi hao tukaandamana hadi shule, while on our way nikamlipa his 200, nikampa fare pia ya kurudi.
Kufika shule, yule teacher kuniona ashaanza kufoka mbele ya mzae vile “KIJANA WAKO” ni mtukutu, anasumbua walimu hadi prefects ati ooohh blablabla, na sa iyo si mzae wangu ata, mzae naye hakuniangusha, ile ukali alitoa hapo, ungedhani ni ukweli alikua village elder, ile kunicharaza alinicharaza:D:D:D na nilikua nimemlipa, ilibidi nitoke staffroom nikizua