Memorable Posts za 2017

Kwa maoni yangu ile siku @Yollo alitupea ride kwa SGR takes no 1 position, SGR was hardly a week old and there was Yollo reporting live, ata ikiharibikia kibwezi talkers knew all about it and when the news ‘broke’ a talker posted at 3pm akaambiwa hii ata hatukuona, we were there.

Which is your memorable thread

17 Likes

Hekaya za @Tommy Lee Sparta

7 Likes

@Adeudeu
Ile ya mjama kushuta kwa basi ikitoka Mombasa @imei2012 ama @123tokambio ?

5 Likes

Matusi ya K-Talk of the year awards ikuje

2 Likes

The one for the hyena and the drunkards :D:D:D:D still laugh until today

2 Likes

Yule jamaa wa suicide. Sijui kama alijiua ama ako alive

4 Likes

Ho I burned down the mbuloti!! Poor cat!

8 Likes

That was 2016

Very much alive and kicking

3 Likes

@Ice_Cube nipe wrink

1 Like

Sawa. Je! Na ile hustle yako ya kuuza trouser moja the whole day?

1 Like

Short and very funny

Hehehe, shhhh
Cheza chini

2 Likes

@Alchemist

2 Likes

Hekaya za @Meria Mata and @Kasighau makes my days I can relate with most of their narration, having worked at the mines and having one as my uncles colleague.

4 Likes

Guka leo concluded it all by slaying the Wannabes

2 Likes

Are you the same guy mwenye alikuwa towed na speed ya 180kph alafu ukakanyangia mwarabu brakes?

6 Likes

saiden na link

Kuna ule jamaa alitupatia hekaya ya vile akiboeka na wife anaamka, anaenda job, jioni harudi home na harudi ever. Na ameifanya more than once.
Huyo jamaa hata sijui how to describe him

11 Likes

Tales of @dark masai

7 Likes