Wishing you a happy parenting day.
[ATTACH=full]198793[/ATTACH]
When they start dripping all honey and felicitations of good will,a pin somewhere is about to be pulled…
Makanika hapo ulichezwa kama hio ndio rangi ya ochi.
Hii osungu mingi munaleta hapa na @gashwin fungueni osungu talk ,saitan next time kuja na dictionary.
niaje pampas kuja tukamate st georges
ahah,ata mimi ilikuwa inashidwo fecilitation dio nini,kumbe tuko wengi!
St George’s ni mefi natambua balageru na tots za baro’s
pitia kambi detach yetu hapo moyale uwasalimie sana halafu huwes kusafisha sisi iris na cornea na batoto ba solomon
Sandi @Chloe …
Nasaidiwa kubleed brakes…na muschana.
[ATTACH=full]198798[/ATTACH][ATTACH=full]198800[/ATTACH][ATTACH=full]198802[/ATTACH]
Hio kambi ni ya nguvu sana end month tunawataftia anjii bajukuu wa king Solomon .
Rims poa lakini hizo miguu zimeisha fine per mguu 10 k = kitunguu tukikutana.
there was a time my company ilienda huko 6months though nilikua course …sikuenda moyale remains a town that i have to visit in service or out
Yaani uchumi in mbaya saidi hadi umeweka tyre ya linglong?
Huko December nashuka huko siendi kwa kina @meza mate. Fare ni 2k kusafisha rungu ni ADI’s a baba.
naambiwa barabara ni nyweee am mobilizing friends for a road trip!
Huko kuna mborana rafiki yangu amekuwa akinichocha niendee but jua ndio huwa na ogopa.
Hio tyre has seen better days.
I have no kind words for old saitanic chameleons who do not know the difference between dirt and wear.
These are 13 inch 205s.
Na ukipata Jaruo na Linglong huyo si pure blood.
Chieth.
[ATTACH=full]198818[/ATTACH]
Hehehe. Jaruo jeuri
Pole afande. I will strive to elucidate my opinions in a more pedestrian language.
cc: @gashwin