Medical insurance

Niaje wase,Enigma has a medical cover worth 2M inpatient and 500k outpatient.Cover for new financial year starts 1st Dec but I have never used the inpatient cover and the outpatient still has 390k.Naeza enda facility gani ni geuza hio inpatient into cash kiasi hata kama nawachia hao watu ya macho?Kufikiria venye hii pesa yote inarudi inaniwasha saidi.

Anza pale RFH, walikuwa wanauza covid vaccine not long ago

Pesa ya lanye hauwezi pata through insurance

Nowadays ni tricky, juu ya claims. Unless you know someone ako front office in a busy hospital, find a Cash payer mwanaume. Akupe cash halafu atumie to the maximum.

Hii medical cover ni ya kampuni gani? Nichanue mkubwa.

Liaison

Hapa lazima uchote ndio uchotwe

:D:Dnajua watu wa Liaison wacha niwaambie kuna mtu anataka kujifanya mjanja. Fuck nimerealise by that simple mistake I can know your full identity.

Thread closed!

Hakuna mtu hajui identity ya @Agwambo kwa hii kijiji.

Lol.Nakudanganya ghassiah hii.Liason iliacha ku cover outpatient kitambo.

Wacha hiyo pesa itibu wagonjwa wengine. Shukuru haujatumia cover yote.

Yes figured that out.Tangu mumezee pilot wa Enigma mate kila mutu anadhani anajua Enigma.

Bwana Chifu kindly expound

Thats insurance Fraud.

Look for the bigwigs in the insurance industry and corrupt your way to payment