Nauziwa hii gari 100gs… Kutengezesha ni 180gs… Kubuy nose engine according to the mechanic. The owner is a lady kbp bwanake alilewa akagongesha… Nataka niiweke iwe taxi…[ATTACH=full]22744[/ATTACH] [ATTACH=full]22745[/ATTACH] Swali ni hapa nacheswa ama ?
Boss hiyo ishatoa airbags
Kama unauziwa na hekaya za lady owned utachezwa. Mwambie akupimie na kilo kama scrap.
50k at most. If the engine and gearbox assembly is completely damaged, 20k. Its going to be more expensive to repair. Si ajabu hiyo gari ukukulie elfu mia tatu.
Aren’t there any other options?
akiyangai sitawai nunua gari…ati 20k…yaani simu yangu at a ni expensive kuliko hio gari:D:D:D
Don’t buy that scrap, cheap is expensive. Huyo mechanic anakwambia 180k ameona cash cow.
Hiyo gari ni problems bro. You have to buy engine, fix it. Suspension ya mbele iligongwa kwa hiyo si ajabu ureplace yote, steering kama iligongwa ni machida, chassis: most likely the car is warped to some degree, body work ata usiseme, mataa, wiring, mirrors, windscreen, windows, fix the doors so that they can close properly, fix dashboard, and a new nice coat of paint. And pro mechanics.
Kwa hivyo hiyo 180 unaambiwa + hizo mashida za body, suspension and steering +paint +mechanics+ windscreen, windows + paint + 100k cost
That is more than the car is worth. get a second hand that hasnt crashed
Hiyo si gari bro. Ni body na a scrappy body for that. You may end up spending close to half a million before tha pile of metal iitwe gari. Ran for the hills bro.
I wouldn’t take that piece of shit for free!
Sema ran run ran run mara mbili ivi.
Vile umeambiwa hapo juu. Kwani ilibebwa kutoka scrap yard?
Mimi hata si mechanic and the most I know about cars nikuendesha, lkufuel,kuekafree kwa mteremko ,kuoil kueka maji na coolant, nazile ,vitu zile obvious in short but hiyo siwezi nunua ,yani uko willing kuspend 280k hapo???!!! Mwenye amesema ununue kama scrap hajakosea
hii ni scrap…
with 300k u can get a better car than that plus mind you hii haitawai kua poa itakua na mashida ndogo ndogo hadi mwisho
The mechanic shall milk you dry pole pole. Buy at your own risk. I tried some time back, ended up selling the car as scrap
hii ata ukipewa bure itakucost pesa mingi sana kutengeneza. hiyo 180k ni maongo
Ukiskiza ya watu, u will Neva do anything in life, high risk high reward… Uamuzi ni wako
wacha kutupanisha jamaa…sometimes we learn from other peoples mistake
100g’s for such piece of metal? maybe my swahili is wrong but kugongesha means a scratch, that moti has seen a terrible accident. Hata insurance people I think they wrote it off.
My dear, invest somewhere else.