[SIZE=4]Property mingi sana zinakuwa destroyed as we speak na bulldozer za gover ya County. Wasee wameenda hasara mwenda. Lakini tunajua hii ni siasa tu. Mapicha ni asubuhi kukiwa na mwangaza.
[/SIZE]
[SIZE=4]Property mingi sana zinakuwa destroyed as we speak na bulldozer za gover ya County. Wasee wameenda hasara mwenda. Lakini tunajua hii ni siasa tu. Mapicha ni asubuhi kukiwa na mwangaza.
[/SIZE]
Sasa wagondi wamefika kukauzi vitu za wadhi. Hii ni ngori.
Side gani ya Buru? Why the destruction.
Destruction ni kuanzia zile stalls na containers ziko karibu uchumi hadi Thomas Burke Primo.
Kibulldozer kingine kimekam pande ya Shell.
Sasa wanabomoa phase 1. Ni kundialala
Poleni wadhii wa Buuru. Hii ni ngori :p. Anyways, enough sheng. Is this a follow-up to the #BuruBuruUnderSieke stuff on TV last week?
But some stalls were neatly done and county was collecting cash. Sonko hawajui bado
N.V UMEKUJA NA KIERERE SANA.TUTAKUWEKA WHERE U BELONG.
NA UJUE UNASUMBUA
Hii nadhani ni ngori ya politics.Anyway, wadhi sahii wanapanga demo. Wacha nitafute kaminje niweke vile kuko
[ATTACH=full]51469[/ATTACH] [ATTACH=full]51470[/ATTACH]
[ATTACH=full]51471[/ATTACH] [ATTACH=full]51472[/ATTACH] [ATTACH=full]51473[/ATTACH] [ATTACH=full]51474[/ATTACH]
Hadi shop ya airtel haikuwa spared
[ATTACH=full]51475[/ATTACH]
Mthii hufunga hewa kwa mandae pia alibomolewa. Cheki izo pioneer systems[ATTACH=full]51476[/ATTACH]
Duka ya Softa. Not spared pia
[ATTACH=full]51477[/ATTACH]
Pia NCC approved shops zimelalishwa
[ATTACH=full]51478[/ATTACH]
keep the mbisha coming NV
you are our man on the ground
mimi hata kama si mwisi hizo pioneer ningeweka wa prado nikanyage mafuta kama nimeenda . @Meria Mata pea hii NV kazi hapo tycoon news .
Were they given notice? Hii ni maisha yao.
Makarao wamekam. MP amepigiwa atokee. MCA amezima mangos
[ATTACH=full]51479[/ATTACH]