Woyoooooooo kama tupo nyumbani kwetu
Kwa kiasi chake nimeanza kuzoea shost
Hakuna jinsi inabidi tuzoee tu hatma yetu bado haijulikani
TISIARAEI wamejua kututenda kwa kweli
Sanaaaa wametufanya tumekuwa wakimbizi ghafla
nipm jamaa am serious kidogo