Mchwa na Siafu. Kupe na kunguni. [cc Xuma]

http://3.bp.blogspot.com/-lPFIe1vZsgw/UrlF5a6H_qI/AAAAAAAAAsE/j8e0eJd5FI4/s1600/Wadudu+na+Araknida.png

Nimejitolea kuistadi lugha ya taifa, kuitumia na kuieneza.
Katika pitapita za mitandaoni nimekuta hii orodha ya wadudu nikaona ni vyema niwashirikishe.

Hii ni nini?
Neno mwafaka ungetumia ni kusoma.
AMa namna gani @xuma my fren

Umenoa. Kustadi sio kusema kustudy.
ustadi ni kupata umahiri/uhodari/uelevu/ugwiji kwa jambo flani.

Stadi ni nomino. Maana yake: Mtu mwenye kufahamu vyema kazi fulani. Kwa kizungu ni professional. ==> https://sw.wiktionary.org/wiki/stadi
Ulikosea kutumia neno hilo kama kitenzi.

hili sikulijua. Asante.

I remember a question on Nge in KCSE miaka mingi iliopita.
Lakini swali ni mdudu yupi amewahi kuchanja!

So no one is tripping on the fact that buibui is the swa name of spiders[ATTACH]97010[/ATTACH]

wapi ding’oing’o?

yuko hapa kama @dingoo_wa_ingoo

NACHUKI KUNGUNI saana lete pich, macho haiku poa

mpaka Dondora

Of course we are not.
How many four year olds do you think frequent Ktalk ? Unakuanga fungana vibaya sana wewe.