Walai this is soo relateable. Now I know nmefanyiwa hivi uncountable times. Uzuri nmechil sector ya gauge for now, been sober for a month now.Nkirudi kunywa ntakua matake away
Baana, I’m usually generous to a fault when it comes to drinking. Lakini in my normal escapedes huwa naeka cap mahali and stick to it juu ni ngumu sana nilewe. But kuna times nmejipata nlilewa with skimpy recollection of yester nights events yet napata I acted completely out of my usual limits financially. Kuna time I made too many withdrawals from my bank account to mpesa amounting to almost 50k na nlilipa karibu zote. Nlirudi kutoa lock asubui trying to understand what prompted my behavior unapata nonsensical hekayas from the waiters, ati hadi nliwabuyia wote pombe. Apo ndio nlijua time ya kuacha pombe imefika. I’ve always suspected foul play na leo nikama my instincts have been confirmed.
Pombe huleta ma hasara flani hunibore.
Drinking has some ‘Post Nut Clarity’ moja noma saidi.
In the meantime let’s stick to weed that hasn’t all these sheet:)
Madhara na hatari za ulevi:
[ul]
[li]Kudhoofika kwa afya (figo, ini)[/li][li]Magonjwa ya zinaa (ukimwai, kawende, kisonono na kadhalika[/li][li]Kufilisika[/li][li]Kuvunjika kwa ndoa[/li][li]Hatari ya kuuwawa kwa kutilwa mchele[/li][li]Kuibiwa hela[/li][/ul]