So apparently this dude was caught in red handed spiking drinks in a club… Alijua hajui…
I remember one incident where a certain girl felt dizzy in a club and realised kuna ninja imeweka mchele kwa drink yake. So the lady scared and weak rushed downstairs akitafuta next available cab at least impeleke home direct Kwa wazazi… Ile taxi aliingia kiti ya nyuma akashow dere nipeleke Ruiru estate flani. Kiasi kiasi dem ashableki na amezima Kwa kiti. Taxi driver ikaona dem ako skimply dressed thighs zinaonekana… Fisi ikapark gari Kwa roadside ikaanza kukula dem… Dem anazusha but ako weak na helpless… Afterwards jamaa ikaenda ika dump msichana karibu na estate yao… The girl staggered home. Luckily kumbe alicheki number plate na model ya gari… Kufika home kwao the parents took her to hospital na police then wakaenda Kwa taxis za hiyo club and the asshole was busted… I hope pia yeye anapigwa miti kamiti