Naplan kusimama MCA huku Gishagi. I hope IEBC restricts the seat to only degree holders.
Alafu strategy za MCA ni kama gani.
I was thinking of “propaganda”
Naplan kusimama MCA huku Gishagi. I hope IEBC restricts the seat to only degree holders.
Alafu strategy za MCA ni kama gani.
I was thinking of “propaganda”
Unapesa ngapi kwa bank?
Degree ni ya IEBC, kwa ground uko na pesa ngapi? Gari gani kama kwenu ni Nyanza.
To be successful in politricks in Kenya just like anywhere else you MUST have money and connections, preferably both. Kama wewe si mtoto wa homeguards or you’re not filthy rich sahau hiyo story.
Kwetu wasee wakiona una tu doh hivi wana ku encourage uulizie kura
Kama uko na pesa tembea kwa kijiji dishing some handouts.
kwetu bora ununulie watu pombe wewe ni kiongozi kura ya mdomo kwako
Hiyo degree haina maana kama huna pesa.
Anza kufanya tu projects tunasaidia watu ata kama ni tudogo