Anyone who knows someone who supplies mbuzi you pay upon delivery?
Slaughtered or meeee? What’s your location?
Meeee, your contact?
Na ukiletewa ukatae? Jipeleke soko ama utembee any roundabout on Thika highway…several goats for sale.
Pics would be sufficient
Shoga unashindwa kuenda kutafuta mbuzi alafu unataka uletwe mpaka kwako
I’m no expert but there’s something wrong with that statement
slaughtered ama?
Mpatie kazi apige mbuzi ngeta akuletee
No alive
Enda kiamaiko, get a slaughtered one…
lakini ujue bei iko juu
Pharmacy ataku uzia dogi inakaa mbuzi
:D:D
Slaughtered ni risky kiasi. Utaletewa dikdik mkia imewekwa superglue ya mbuzi
Bado sijapata any meaningful lead, anyone?
I think itabidi uingie ground. Ulizia ground. Hapa online utaconiwa
Si ukule tu sukuma kama mimi. Wezi wa mifugo huku walikataa kunitafutia
The only goat worth notice ni hii ya mbaruya shoga[ATTACH=full]489440[/ATTACH]