Mbuzi choma surprise

Hizo siri ndio wanakatalia

Hizo techniques zote ni valid :smiley:
Lakini you are still looking for what you tasted in FineBreeze. Ama ?

Search for texas style brisket i think its worth the wait…

You are right my friend. On Facebook BBQ groups, I have seen what those things can do to smoked ribs, steak or chicken.

In uganda they have the mubende local goat…nilikisikia ukikula nyam chom ya io mbuzi hautawai tamani kula nyama ya breed tafaouti.

Ingia youtube ujionee maneno.

Randy, hii munyama ina itwa mubende goat sijawai kusikia. Thanks.
My friends who have spent time in UG usually just mention the unmentionable things they did with our Ugandan sisters.

since sote tuko kwa nyama manenos…niulize na si kwa ubaya.kuna mnyama anaitwa dik dik???reason nimeuliza ni a pal of mine ameniambia tupange tukule "dik dik " na mimi naona kama ananichezea.

and that olive oil isn’t cheap

Ngaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

Chunishwa sukuma nanii, eeh.

Tembea Baringo.

Koriema goat meat is naturally salted

Trial and error, Weka magadi

Inatakaga uende wakati wameshiba hahaha

Magadi achia watu wa githeri

Dikdik is an animal

Waah! Majamaa wanatoa kitu ingine ajabu. I think meat roasting is an art

Ama pande za Mbeere na Rwika. Mbuzi size kindogo but taste iko chojo