Mbunge Sugu ni hasara kwa taifa na wana mbeya anafaa kufungwa tena kwa kumtishia maisha waziri.

East Africa Television (EATV)
4 hrs ·
“Ningempiga Juliana Shonza lakini kwa hali ya dada yangu naomba nimuache, tumsubiri mjomba azaliwe. Sitampiga nitamuheshimu. Ila ninachotaka kumuambia mimi siyo Roma nitaiburuza BASATA Mahakamani ili wanyooke waache kuchezea wasanii”- Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi

Wanambeya tunamkubali Rais wetu, 2020 tutampitisha kwa zaidi ya 90% ya kura. Huyo viti maalum mwambieni aache kukurupuka

Wee bwege kwanza karibu. Na mimi nanukuu maneno ya mbunge “Bwege” ndani ya bunge hilo hilo, “CCM ni sawa na patasi sharti igongwe ndipo ifanye kazi” upo? Huyu bwege katishia CCM nzima.

kwahiyo kumuambia mtu utamfungulia kesi ni kumtishia maisha?

Nilikuwa naamini Wahaya ni watu werevu kumbe kuna mazoba kama wewe. Wazazi wako wamepata hasara kubwa bora hilo bao lililokuleta duniani mdingi angepiga nyeto.

Wewe mtoto mimi nimejiunga huku toka mwaka jana …
Huyo Sugu ni kichaa kabisa

Kama unatupenda sana wahaya basi tafuta muhaya unaae muona mwerevu sana akuoe kabisa

mkuu Rutashobolwa umenena kweli aisee… Sugu anaona ni kama vile yuko duia nyingine anastahili afungwe tena

Duuh! Mpk huku mmekuja

:D:D:D:eek:

Kusema ningempiga ni kutishia!? Halafu unajidaigi mwanasheria!!?

Kwa taarifa yako mke wangu ni Mhaya na ana akili nzuri tu nakushangaa wewe boya au ulikunywa maji machafu wakati unazaliwa?

Kuna tatizo hapo mkuu. Wapi kamtishia maisha waziri??? SHUBAMIT

Naamini neno kupiga hakumaanisha kumpiga N/W physically…nafikiri alimaanisha angempiga kwa maneno makali ila kutokana kib**di alichobeba amemsamehe hadi mjomba atakapozaliwa.

Lumumba comrade bila shaka, Buku saba kibindoni unaleta maji taka huku

JIWE ndio anaona yuko dunia nyingine.

SUGU sio wa mchezo mchezo yule. kusema atafungua mashitaka ni tatizo.??? kusema atampiga ndio kumtishia maisha coz aliongea kama feedback. SAITAN nyie

haya majamaa huwa hayajielewi, yanashangiliaga kitu yasiyojua baadae ndipo yanaona madhara. Sasa hivi hakuna buku saba maana hakuna jukwaa la kuitetea ccm. majukwaa yote yalioko hewani ni yale yanayompongeza jiwe

Halafu niliona Ndugai anatabasamu kwa mbali

Kama mimi ni mtoto kamuulize mama yako akwambie ukweli. Kujiunga mwaka jana ndiyo uchafue jamnvi huku ukimbizini. Kama mngekuwa na za kuwatosha msingetufungia JF yetu. Tuheshimiane ukimbizini huku

Ccm Bana… Mkiambiwa ukweli mnaweweseka fyuuuu