Ungeandika japo kwa muhtasari yale aliyosema
Tulia chini ulete nondo mkuu…
Hakuna aliyefungua hiyo video atuambie?
Hii hotuba inaonyesha ukomavu Na uwezo mkubwa wa kujenga hoja alionao kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani. Tanzania ni yetu sote.
Nimemuelewa