#mbosso ameandika historia mpya baada ya kufikisha views bilioni 1+ kwenye mtandao wake wa YouTube, hatua inayomfanya kuwa msanii wa tano wa Bongo Flava kufikia rekodi hiyo kubwa.
Kwa mafanikio hayo, Mbosso anaungana na mastaa wengine wachache walioweza kuvunja ukuta wa bilioni moja za watazamaji YouTube, ambao ni:
Billionaire WA views za kishoga na bahati hapa Kenya mkamba wa carthozweni NI millimare wa KSHS . I guess Diana Maria ako na pesa mingi kuliko Samia suluhu
Najua wewe ni shenzi Sana na hauelewi na my point . My point is bwana mushienzi kutoka korongwe tanga , you tube likes na hio misenge ya kibongo haina pesa hard cash .