Mbona mabepari huwadhulumu walala hoi?

Limekuwa jambo la kusikitisha ulimwenguni kuona jinsi ambavyo walala hoi huwa wanahangaishwa na kunyanyaswa na mabepari walio na mamlaka na rasilimali kote kote. Tunapoelekea siku za usoni, itabidi walio wanyonge washikamane na kuapa dhuluma hii imetosha, na kuchukua maswala haya mikononi mwao. La sivyo dhuluma itazidi kukithiri.

Mnyonge hana haki, wala akili, na itakuwa vigumu kwake kujikomboa kutoka kwa dhuluma ya mabepari wamiliki rasilmali.

Hili ni jambo la kusikitisha sana. Ni kikwazo kikubwa kinachostahili kutatuliwa ana kwa ana

Kuongea Swahili sanifu ni umeffi.
[ATTACH=full]402160[/ATTACH]

I bet you think in English, eh? :D:D

GHASSIA!!

Maliza hiyo chokoraa ya kutafuna mogoka

I bet you converse in Queens English throughout the day. Huh!

Kiswahili kifukuzweeee na si tafadhali.

Lazima tukikuze Kiswahili maanake ndio lugha inayounganisha Waafrika wote.

Kama vile IG Mutyambai anajaribu ku cover up for his drunkard son who killed 2 people few days ago

Naam. Jinsi kama hiyo ndiyo tunasema. Huyo ni bepari ambaye ufidhuli na ujeuri wa mwanawe umepelekea wananchi kupoteza uhai.

Shifo account yako ime hakiwa:eek::eek:

Zirimaai jaribu kuongea Kiswahili sanifu kwa hii uzi na sio tafasali. Ghaseer.

Kwani leo ni Swahili Sundei…Err jumapili ya kiswahili

Cha kusikitisha ni kwamba wengi wetu Kiswahili hatukienzi.

La hasha. Bado niko usukani

Ni bora tukienzi maanake ni lugha iliyo na asili ya bara letu.

Yaweza kuwa pia.

Hehe nmedhani jamaa wa jamii forum amejishindia account yako.

Hilo halijafanyika kamwe