Mbona hamtupi mrejesho wa hiyo Forum mpya "Bongoforums"?

Nimecheka balaa.!

Mambo yao waachieni wenyewe…

Nitabaki hapa hapa JF…

Cc: @Mahondaw

Sio nzuri aisee

Tujihadhari na mbwa mwitu, unaweza jikuta kusikojulikana

Kwa forum za bongo kujiunga yataka moyo.

Nimeenda kuichungulia yani hata mvuto haina

Hatari Mkuu.

Aisee! Ni nashangaa hata aliyenielekeza kule, yeye sio mwanachama wa ile forum basi nimebaki naangalia macho tu
Nalog off

Nilikata tamaa sana jf kuwa offline maana mradi wangu nilioanzisha idea zilitoka jf, asante kwa kenyatalk kutukaribisha, nimepata faraja na upweke umepungua sana

nyambafu kabisa
homepage imekaa kama tovuti ya be forward ya wauza magari
kuna watu wana akili ndogo hadi unashindwa kuamini

Kule kweli kumedoda mkuu, watu wanahisi forums iliyo na ushirika na dikteta uchwara ili kunasa wazalendo wa nchi hii wasio penda ujinga wa viongozi, ndio maana kumepooza sana

Ni mtego nini?

Duh!!

Sawasawa.

Mimi kuna moja nilijisajiri kwa kutumia jina la kitata sana ,mala mtu anakuja pm kuwa anaomba namba yangu ya simu kuna inshu tuzungumze!!nimemtukana hadi nikala ban!!

Duh jina feki,email je nayo aliweka feki? Huko basi hakufai

:D:D:D

Watashindana lakini,

Mkuu tupe uzoefu wako wa kule.maana mzee waa zama mpya haaminiki,hata kidogo

Aladini ana mahusiano na Bongoforums ?