Mbona currently talkers wako na wivu na starehe za watu?

Ukiona mtu amepost vile alikuwa kulewa ama kuvuta sigara unakuta kuna watu wanamwingilia ni kama kuna pesa yao imetumika pahali. Tuwache hizo jameni. Let people enjoy their things. Hata watu wa 150 na jaba wajienjoy. But remember to do everything in moderation my brothers

2 Likes

Ni wewe tu shifo unasemanga watu waache “umaraya”

1 Like

But I have never castigated anyone directly for something they posted or did

1 Like