Mbona Balozi lager haikai different from keg

Thing just tastes like bottled senator keg. Actually keg fresh tastes better

Beer meffi from a meffi talker

Niaje @Jangilibandit

Kula na sembe. Uliza pharmacy

Hii ni kama Tusker cidar. Mara ya kwanza kuonja Tusker cidar niliregret sana kununua iyo beer. Hiyo stuff inataste kama Afia Apple flaavour. Yaani ukichukua Afia Apple flavour ueke ndani ya chupa ya Tusker cidar hakuna mtu atanotice hata.

Chief si ukunywe whitecap. Hakuna beer inataste tamu kama hiyo.

You geh gene is struggling to be let loose. At what point dies a man decide that he will use his hard earned money kununua tusker cider akunywe?

Ask yourself first,

What is KEG?

tusker cider tastes good but ile hangover iko nayo au nilibuy fake

Keroche walikuwa na a very good beer: Summit. But it seems waliacha production yake. Sijaiona for a while

Iko na headache moja kali sana. Worst part headache inakuchapa na hata hujalewa.

Jibu swali langu;What is KEG?

Keg ni container, hiyo pombe Kenyans call KEG is Officially MALT LIQUOR
Hiyo takataka unaitwa Balozi due to Kenya’s Mediocrity and lack of understanding and lack of Standards inabatizwa jina eti Lager

Tafuta definitions za
Lager (e.g Tusker)
Stout (e.g Guiness)
Malt Liquor (High Gravity Alcohol) (KEG)

Its the diet coke of beer drinkers.

Think you mean Keg black…he is referring to the clear lager Keg.

Beer poa sana, no hangie. never tasted KEG so I can’t make the comparison.

Hizi mapombe zote unaonza ziko na machupa eti Brandy, Gin, Vodka Made in Kenya hakuna kitu hapo. Hizo na Roundup herbicide ni cousins

Only 1 distillery in Kenya has the capacity to make Gin or Brandy in Kenya.

Sisi wa changaa tunatoa points au

Keg is the metallic barrel used to store beer. NAJUA!!!

Elkana do you need to be educated in matters colloquialism? Kuna vitu ukizisema in some contexts bado zinaeleweka tuu. Hapa Kenya msee akisema CD, keg, V8 etc you must be the thickest of bonobos to fail to understand what he/she is talking about.