Mbona admin ana delete threads?

Since I joined Ktalk have been posting threads kadhaa sana sana kwa sex n relationship segment. Nmejaribu kureview threads za kitambo off late but haiko. mnazipeleka wapi?

Mnapenda usenge sana, what had you posted.

I could have given you a link to my threads thats why I’m wondering.

Si unajua tu vile jamaa wa turedio @Electronics4u ni miser. Labda aliweka server ya elfu mbili akafinya server na network capacity. So huwa anadelete threads za kitambo to free up space.

Cheza shini mzae