Nataka anza hii…kama sijapata pesa nzuri for the past 363 days, hii 500 bob nimetumia leo haiwezi nisotesha zaidi ya nilivyosota.
Kwanini watu hulalisha ma Spiro ka viceroy, Kibao, blue moon etc kwa Meza lakini Johnnie walker, Jameson n the likes hazilalishwi kwa meza:)
Class mtu wangu, you don’t want pple to see what you are drinking…that’s y cheap liquor watu hulaza kwa meza na sio zile expe. Ya pili ni design ya chupa, u can’t get a rounded bottle to lie on the table
Bingi mungu atakuangalia 2016
Ombi langu pia anko
hehe never and never will take such acha maziwa inileweshe
Hapo sawa lazima liver ichape 2015.
Chapa hio kitu dry…stoney ya nini…
Spot on
Soda ni ya nini, inakaa wewe si mlevi sugu
mi nmezoea kunywa makali mpaka nkibuyiwa chupa mi usahau bado nalalisha
Mijinga
Kaka, Viceroy is not cheap liquor.
Alafu udandie chapati mbili. Huwezi sota msito Bingi
Bingi usife moyo. Hakuna alizaliwa nazo (OK, pengine Uhuru).
Hi guks. Happy holidays.
Happy Holidays kairitu ka mucii, @aviator.
Na utigage kuhenia ati ni ukahee December…
Am free this evening. Where do we swallow one as i console you ahead of your ANALysis?
[ATTACH=full]25699[/ATTACH]
[SIZE=2]
gif credit goes to @Bhangi Iwe Huru[/SIZE]