Corona imefanya watu wengi wakose makazi. Huyu mbaba ambae alikuwa mlunje wa painting and other small house hold chores in leafy suburbs alikosa biz akaona ajitoe.
[ATTACH=full]297027[/ATTACH]
Mbaba alikuwa anategemea small house hold chores kama painting, slash nyasi, or any work ya mkono kwa nyumba za wadosi pale leafy suburbs. Sasa juu ya corona wateja wa leafy suburbs hawakuwa wanataka to take any risk and so didn’t want to hire anybody.