Niko na chalii anikatia vipande vya mtula, naejoy machalii ya Tz yanavyovamianga Forum.[ATTACH=full]175693[/ATTACH]
Dah uko umekuja na swahili ya Kenya mkuu?
Mazee si kitambo sana naexpect ku travel to TZ, but now navizia kuwanyaka ma she wa kiTZ.
Nimeona mtura njaa imenijaa ghafla
Aisee
Kumbe unakulaga Mkuu? Karibu.
Karibu Mkuu.
Mbona imekaa kama kinyesi…
Cc: @Mahondaw
Kwa hapa Kenya especial Niorobi hii kitu ina heshima yake “Local made sausage”.
Ahsante mkuu
Hahahahaha… Smart acha basiii… kinyesi lol…