Mazda

There is something good Mazda is doing. Kuna venye gari zao zimeanza kujaza Kenyan roads. The most common Mazda brands in kenya include

CX-5
[ATTACH=full]409541[/ATTACH]

Demio
[ATTACH=full]409542[/ATTACH]

Atenza
[ATTACH=full]409543[/ATTACH]

Axela
[ATTACH=full]409544[/ATTACH]

Shida ya Mazda ni mechs.

Heee, Atenza si hua moto.

Kenye sielewi ni mbona mse abuy axela yet price difference na atenza ni less than 300k?

Rangi ya Mazda pia ni stress incase uguzwe ama repaint

ni peer pressure. vile mwalimu wa kwanza wa high school alinunua fielder walimu wote wa high school hununua fielder. wakati wa Harrier ilikuwa ivo pia, neighbor wa kwanza ama family friend akinunua Harrier kila mtu anafuatia. Sasa ivi ni wakati wa mazda,

Methinks too that it is just a passing fad among Kenyans kama vile ilikuwa na Toyota 110, premio, vanguard, corrola nze, fielder, Nissan sunny, crown, harrier et al. Basically shitty cars that managed to capture the market. SAA hizi watu wanakamuliwa 2m plus for a cx5 which to me ni umeffi.

do you know 300k adds another year to loan repayment period?

Ktalk billionaires hunishangaza vile hao hudharau pesa.

current mazdas are conventional automatics. Even though the transmissions are mazda design, they are made by the godpapa of auto transmissions, Aisin. Kenyan terrain is very unkind to the cvt transmissions toyota introduced even though they are still made by Aisin. Toyota went cost cutting because cvt is cheaper to make than a six or eight speed auto. Then again mazda is years ahead of others in engine technology and design. They have invested a lot to counter the problems they introduced when they teamed with ford. They currently are making some of the best cars from japan. They will have a good run for decade or two before they also water down their products when they capture market. Nothing lasts forever.

Na bona usiongeza hio 300k ununue mazda 6 instead of atenza

Eish. Mbona mko na hasira ivo. Kwani kuna mtu amewaomba pesa? Muache kuproject insecurities hapa.

Sina gari na sina pesa. I was just thinking aloud.

I mean; kama kuna places axela utapata wanaitisha 1.35, yet ukifika 1.55m unaangukia atenza, why not?

alafu @Shaka mtu atanunua aje mazda 6 instead of atenza yet they refer to the same thing? Make google your friend.

Fully aware.

But my logic stems from the fact that the sum can give you a huge jump in terms of comfort & utility.

The same way one decides to save for mazda demio @ 1m. My logic is, kama umesave hadi hapo, si unaeza kua patient u top up kidogo, say hata 200 and jump to the next class of vehicles?

Hiyo jina Mazda siipendi. Na zile negative stories za Mazda CX5 mumeweka hapa mbona mtu awache CRV aendee Mazda?

Kulikuwa na wakati mitsubishi gallant, lancer na pajero ndio zilikuwa hivi. Zilipotea vivyo hivyo na fielder na nze bado ziko barabarani. @sani

Engine hua na shida ni io 2.2 diesel. The same engine ndo pia inatumiwa kwa atenza.

2.0 and 2.5l are superb.

What made the price kupanda that much?

My bro bought his in 2020 October at 1.3M

Sahii zinacheza na 2 point

How are the diesel Atelas?

Poor me, I didn’t know. I was only dissing you

Galant and lancer were at some point discountinued, thus unavailable, pajeros seem to maintain their numbers.

mechanics ndio wamefanya Kenya kuwa a Toyota nation. Na pia ujinga ya resale value.

Ni gani afadhali…kukamuliwa 2m for a premio ama for a cx-5?
Afadhali cx-5. Premio nayo zii. I can never touch that car even with a ten foot pole. Unaendesha gari na wasi wasi bana.