Mazda Roadstar

Hii gari inakaa msuri sana kwa AMG member . kwanza nmeona huko Befoward kuna manual version. inatoka 2.7m. mzuri sana ya roadtrip

2017 Mazda Roadster RF VS

 • Status - Ready to import on order basis
 • C&F - Ksh 2,749,000
 • Engine - 2000 cc NA SKYACTIV-G i-4
 • Engine Code - PE-VPR [RS]
 • Power - 155 HP / 200 Nm of torque
 • Transmission - 6 Speed Automatic
 • Drivetrain - Rear Wheel Drive
 • Safety Rating - 4/5 stars
 • Colour - Grey / Ceramic Metallic
 • Location - Japan
 • Mileage - 43,000 Kms
 • Fuel - Petrol/ Tank capacity - 45 Litres
 • Fuel economy - 15.6 Km/L
  Features :
  • Power-retractable fastback roof.
  • Independent front and rear suspension
  • Four-wheel disc brakes with ABS.
  • Dynamic stability control with traction control system.
  • Mazda Connect infotainment system with a 7-inch touchscreen display.
  • Lane departure warning.
  • Blind spot monitoring.
  • Rear cross traffic alert.
  • Advanced keyless entry system.
  • Bose 9-speaker audio system.
  • Leather-trimmed steering wheel and shift knob.
  • Heated leather-trimmed seats.
  • Adaptive front-lighting system.
  • LED headlights with daytime running lights.
  • Tyre pressure monitoring system.

344576433_580702124157230_360911142421889534_n.jpg345435351_2462764820548924_3514063517477426780_n.jpg345465307_2466864810148411_4722682620787449248_n.jpg345594868_787045352644945_980423630352088693_n.jpg345603022_1029466471352932_4492758491034930276_n.jpg

Miata! Ubaya lazima ukuwe na daily driver. Si ununue subaru brz/Toyota 86 .These cars ni practical kidogo na ni as fun as a Miata. 2.7 million uko na Nissan 370z. Spoiled of choices! Miata hapana!

Kama ikona rotary engine hiyo ni meffi

Haina Rotary. Rotary iliisha na RX 8. Ni 4 banger ya kawaida (N/A). Power to weight ratio ndio inaiokolea. Pia driving dynamics. A perfect drivers car.

Lakini kusema ukweli, other than for purposes of kutomba bimbos, can Kenyan roads really support roadstars?

Yes. Ukitoka tao.

Na ukikutana na zile bumps wanawekeanga wasee wa boda ama zile.potholes hutokea kighafla?

Uhuru alifanya kazi buana. Toka outside town ujionee. Ubaya mafuta saa hii haitaki mchezo, na haitawahi shuka. Alafu tuletewe ma electric. Hatujabaki na time mob yakujibamba

AMG mbona hamtambui hirax
images (3).jpeg

images (65).jpeg

Hii niya wakulima. But a good truck

OP ni mkulima hodari pale western

Pickup ya nini hata Honda fit nafuruta Trailer

Hii gari si ya hio kazi.

Why am I laughing…:D:D:D

:D:D:D Umemaliza AMG chairman, Paipu Branch.

:D:D

Iko na looks kweli kweli. This one must be a blast to drive.

Shoebaru hatuna maoni

Shida ni wajinga wenye wanaeka bumps have you used Nairobi - Nakuru highway offlate uone ujinga yenye wamefanya in the name of erecting bumbs