Anyway neeza pata legit customer wa Mazda CX5
Ni ya petrol
KDB
2.5 M[ATTACH=full]378863[/ATTACH]
2.5 is high
@administrator can we have a section dedicated to mazda cx5…a very common brand on this site
@Ndichy25flossin hii yako ni ya mwaka gani, na ni cc ngapi am not good with number plates
kama kawaida… thomspson gazelles please keep off
That milage has been rewound mbaya sana. Looking at the steering wheel hii imechapa kama 160k kms.
2000 CC, 75800 kms
2.45 the lowest
I don’t think mileage huangaliwa kwa steering wheel
hii inamaanisha?
[SIZE=5]Propose a counteroffer, sio [SIZE=5]bargaining as if unanunua maembe.[/SIZE][/SIZE]
[SIZE=5][SIZE=5][SIZE=5]Ati ‘2.5 is too high nipatie bei ya jioni’[/SIZE][/SIZE][/SIZE]
First of all, si wewe unauza.
Secondly, hapa kuna mraiya alipost cx5 ikifanywa engine overhaul.
Thirdly, hizi Hari ni 2.2k cc diesel, most of them. What the fukkery? Diesel na situmii hii gari daily? Hiyo cost yote ya kushinda nikifanya service?
Ain’t good enough for me, wacha nibaki na fielder for now msee.
[SIZE=5]Soma hiyo post tena, OP amesema ni the petrol variant. [/SIZE]
[SIZE=5]Kama imekupendeza, trade-in hiyo fielder ukimlipa mdogo mgogo. Sio ku-bargain kama unanunua socks.[/SIZE]
A worn out steering wheel and brake pedals are an indicator of a heavily used car. Also angalia driver seat vile imechapa esp on the edges itakupatia hints
Sio nini ama nini but 2m ukipata,please posti. Why im saying this ni ju ya wakora kule inje na corrupt officials unapata mtu amekwachu benz,bm,and whatnots for that amount . Hutu tu guzzlers unaona kwa barabara,ni kidogo sana zimenunuliwa actual price. In may nikiwa malindi kuna range ilikua inauzwa 7m ,milage haikuwa umefika hata 35k!!!,yet naambiwa bei ni ya kugongwa…and you wonder how it goes on under “watchfull eyes”
Hio gari iko range ya 1.1-1.2 million ,put another 300k ya ku improve condition ,total 1.5 million…hii price yako iko juu zaidi.
Ni ya petrol, it wouldn’t need an engine overhaul.
Sawasawa
Ongezea 0.45M nikupee hii machine
Wewe unaongelelea ya diesel… Or an imported one. Ya petrol ni much more expensive. Do your research
75800kms is the mileage.