Mazda Carol.....

@jumabekavu kujia hii gari yako.
Nimemaliza service.
Saitan!
[ATTACH=full]85751[/ATTACH]

36 Likes

hiyo ni bronco ama blazer?

Jinga wewe lejo utaheshimu gari yangu karibuni. Jajuok mkubwa wewe

7 Likes

77 Blazer K5.

3 Likes

…does it have one major nut to hold the wheel ama ni mimi sioni nuts za kushikilia wheel…on the blazer…not the caroline

1 Like

Commandment No. 7: Though shalt not use a potato to browse.

19 Likes

actually am using a computer…labda ni shida ya macho

UPPERCUT :smiley: :smiley:

1 Like

He he,jalejo unapenda uchokozi

Isorait.
That’s the cover for the hub. If you zoom in you will see six studs.

2 Likes

zime camouflage vizuri hata hazionekani

Hio v8 ina cc ngai?

V8.
5700cc.
Halafu bado Quadrey ananisumbua.

4 Likes

omera. matuthi uko nayo

1 Like

Petrol or Diesel?

Petrol.
Sipendi diesel.

haha iko hadi na airfilter hapo mbele

Birrionaire tingz

1 Like

sasa how do you overtake with that LHD kama hauna passenger wa kukuchekia

1 Like

Ground clearance.
I can see above peasant KCKs.
Truck drivers are good. They will signal when you can overtake, and then hoot as you fly past. Cc @Meria Mata.

10 Likes