Mayai

Nina swali kwa kijiji…What do u do with the water after you boil eggs?Hii kitu imenisumbua nikipeleka ka gilbeys hapo njoguini ata @kihiikiaganu ameshindwa kujibu

Unaweka kwa kibuyu unaishake kwa fujo…Unakunywa kama supu

39 Likes

unaoshea vyombo…

10 Likes

Unaieka kwa frame unahang kwa ukuta

36 Likes

You let it evaporate to release the soul of the chicken.

53 Likes

Watu kama wewe, unachemsha bongo nayo

19 Likes

My God, how do you come with such?

How about you tell the guy aoge na hiyo maji?

8 Likes

Brrrap! Brrappp! twaf! shots fired!

1 Like

Naweka kwa karai naelekea bafu

10 Likes

Unaeka kwa thermos alafu ukitomber dem yako unamwosha ikus na kupanguza yeye na curtain

1 Like

Unaweka kaunga ka 90hapo unakoroga kaukali mbio mbio na kuchangamkia na mayai mboilo

9 Likes

Yeah.
We believe you.

19 Likes

woooooooow, ungekuwa karibu i’d have donated some eggs…[SIZE=1]if boiling them will get you to wash[/SIZE]…:slight_smile:

11 Likes

Alafu mpesa ikiingia kwako kwa makosa huwa mnafanya nini

3 Likes

Ahem…
Nalipa nayo deni ya MShwari.

12 Likes

Nimekimbilia bundles kumbe nugu zinakata hata yenye ilikua kwa account

2 Likes

una oga nayo ,inatibu ujinga,nguvu za kiume,kupata credo ktalk,kumtuliza mpenzi,kuongeza hipsi,cheo kazini,magonjwa ya zinaa,landlord kutouliza kodi,sport pesa,e.tc

3 Likes

:D:D:D:D:D

You win.

1 Like

Haha The timing and replies tell alot

1 Like