[ATTACH=full]175982[/ATTACH]
Tufanyeje sasa
Duh
hahaha anaogopa kesi za kuhamishia majeshi uhamishoni
BBC Wambea
Huwezi kuendelea kukaa sehemu hiyohiyo wakati unasikia milipuko ya mabomu lazima
utafute sehemu ya kujisitiri by the way Mello hata kama angekuwa na uhusiano na huku
bado ingekuwa ngumu kukubali, Huku Tumekuja wenyewe na haya yote yanayoendelea
ni sisi ndio ambao tumeomba na sio JF founders
Du!
Mtandao huo wa Tanzania ni maarufu kwa kufichua mambo tofauti na kama jukwaa la watu kutoa maoni haswa wale walio nchini Tanzania na nchi za kigeni.
Taarifa zake zimeanza kupatikana katika mtandao wa kenyatalk.com licha ya kwamba mtandao huo bado umefungwa.
Waliokuwa wakiutumia mtandao wa Jamii Forums kabla ufungwe, wameanza kutoa maoni kwenye mtandao huo wakifurahia kupata jukwaa jingine la kushiriki kwenye mijadala na kupashana habari mtandaoni.
Mwanzilishi mwenza wa Jamii Forums Maxence Melo amesema hawana uhusiano wowote na mtandao huo wa Kenya.
Mmoja wa wachangiaji anayejiita @Mwifwa ameandika: “Karibu sana mkuu, nafurahi kuwaona mkija na ID zenu za JF kuliko na wale wanaokuja kwa kubadili ID zao.”
“Na mimi pia nimefurahi, nilikuwa nafikiria sana jinsi gani mtaweza kuja huku naona matumaini yameanza kurejea, washtue basi na jirani zako. Nasikitika sana sikuwa na mawasiliano na watu wengi ya nje ya jamvini isipokuwa tuliishia PM tu.”
[ATTACH=full]176017[/ATTACH]
Chanzo: BBC SWAHILI
sisi hatuzuiwi kirahisi hivyo.tunajivunia kuwa teknolojia ni pana saana.
Daah
Nimemuelewa sana Melo. Kwa hali ilivyo hawezi kusema zaidi ya hapo
Ukizuia kushoto wanatoboa kulia
Hii inapendeza ndo uzuri wa mtandao wa2 2naenfelea kupeta tu kama kawa.
Watatufuata hadi huku, hujui ule msemo wa akumulikaye usiku mchana hukuangaza?
Kaka
Haina noma, ilimradi wasomaji wa JamiiForums tumehamishia majeshi yetu Kenya, wacha tuji-enjoy…
Amesema kuweni makini kwa kiweka data zenu maana yeye alikataa katakata kuzitoa mpaka serikali ya Muhutu ikamfungulia kesi mahakamani
Kinachohitajika ni uhuru wa kutoa ya moyoni. Wakitubana zaidi na hizo chuki zikaishia moyoni, siku zikitoka sio Jiwe wala Bashite ataweza kuzizuia. Huku kila kitu ni fake kuanzia email mpaka id. Sisi sio wajinga kiasi hicho
Mambo ni hiviiii…
Kama ulikuwa member wa jukwaa la siasa na uko upande pinzani ni bora kuwa makini.
Kama FBI walifungua iPhone hata data za JF zikihitajika zitapatikana tu.
You are The Village Elder, tunahitaji ushauri wako juu ya hili.