Maudhui ya Luthuli

Mi ata landlord akanifungia keja, niko na ma beshte wengi sana Downtown Luthuli Avenue siezi kosa base ya kudoz
So hii time flani nachill nao hapo Tahiti ni saa saba magizani tunachapiana tu, alafu mi na kiherehere yangu nikaanza kukashifu hao ma Kunguru kwenye minisketi ati mbona wamegeuza nunu economical tool
Waaaah, Sema kuingiza uso ndani ya sulphuric acid enye imemixiwa na venom ya scorpion
Nilipigwa counter ingine ya mwaka na matusi zenye sijaiskia tangu nizaliwe
Hata siezi ziandika hapa, Nikajaribu watu wa Kijiji wanaeza form tribunal na hivo ndio teketeke New Villager atakuwa considered persona non grata.
Lakini haidhuru,acha niendele na hekaya
So after hio mvurugano yote kuna mdem mmoja, anaitwa Angel, siezi sahau chenye alinishow.
Alisema hivi, soma kwa makini.
“Skiza hapa Mastori, hauezitushow kuuza ni dhambi bila kutupea njia mpya ya kutengeneza hii ganji(Don’t tell us selling is a sin without offering us new ways to win)”
Tangu hio siku niko na msimamo moja tu,“Ngazi yangu ni yangu pekee yangu, mwenye alipanda mti ye mwenyewe anajua venye ataishuka”.

Pthoo !!
[ATTACH=full]255907[/ATTACH]

“Skiza hapa Mastori, hauezitushow kuuza ni dhambi bila kutupea njia mpya ya kutengeneza hii ganji(Don’t tell us selling is a sin without offering us new ways to win)”

this girl has a defeatist mindset. that is all.

Probability ya comeback ilikuwa unlikely, she knew her trade better than I knew my language. We live to argue another day

Bila mbicha hata ya 50 bob weave hii itabaki @Mastori tu.

Mi si nimekaa tu chini kwa class, common mwanakijiji nachukua tu notes @WuTang

Your IQ is very down brother

I am fully aware @ChifuMbitika , trying very hard to uplift it.

I appreciate your effort to do so.

bila hata thermal image ama sketch ya miniskirt hi ni hekaya tuu