Matiti ya Ng'ombe

I have a probox and I want to sell milk.
Source ya maziwa ndio sijui nitatoa wapi. I need to start with 100 litres.

Saidieni tafadhal.

Milk your probox.
Meffi

3 Likes

Ushawai drive unapatana na Ngombe miiingi Za maasai zikigraze along the road? Sasa next time park plombox chapia Ndauo Hio stori Ya maziwa.

What kind of milk are you looking for? Raw or Pasteurized? Do you have the licences? And do you have a market? Have you done a feasibility study? Uko na shop? Uko na employees? Uko na mitungi? In short, fanya proper research. maziwa ikiharibika, just 1 batch, is enough to send you into the negative for several months.

Selling milk is a process, not an event.

21 Likes

Kwa kawaida maziwa utoka kwa matiti ya ngombe.
Umejaribu kuangalia hapo?

1 Like

Am looking for raw milk, niko na license ya KDB shop iko hapa Rongai, mitungi ile ya maziwa iko nne.

I used to sell milk two years ago najua market iko as long as niuze fresh unadulterated milk.

4 Likes

what happened ndio uwache?

Enda mkz join a group by name dairy farming kenya, ask that question there and you will be spoilt for choice

1 Like

Source ndio ilileta shida. I couldn’t get enough.

2 Likes

Nimeingia mukuru kwa zoo wacha nitafute. Thanks

Nimejaribu lakini inatoa maziwa ya black. Nataka ya white.

4 Likes

:D:D:D

1 Like

you are funny

1 Like

… and patient.

1 Like

I see @jaymoh has answered you.

In addition, try Kinangop Dairy, though you would have to do more than your projected 100lts to make business sense.

Alternatively, naweza kukuuzia at 45b0b pasteurized ujichukulie, or at 50bob nikuletee. Minimum 200lts.

2 Likes

Thanks, I want to start with 50lts before it picks up, two years is a long time and my former customers r buying elsewhere. I will try Kinangop dairy nione kama nita make.

1 Like

uko na @PesaMingi

Uza probox, nunua ng’ombe, lisha vizuri, kamua maziwa, uza maziwa, nunua probox. PERIOD.

3 Likes

Milk business is not for the faint-hearted

Fika Nyandarua county huko maziwa ni mingi hadi tunapee mbwa