Matiangi ameingia uwanjani

Sakayo anaonja mate anasikia shubiri tupu. Injection should proceed.

https://x.com/citizentvkenya/status/1878830645948059669?t=1_m-22nwBjJHeD9nBDfi_w&s=19

1 Like

Heri nipigie Sugoi man kura kuliko Abagusii… Emotional immature people.

4 Likes

Tumeskia

1 Like

Anyone is better than kasongo. We need change

2 Likes

Omwana ominto obeeee

1 Like

Hatuweziii ,afadhali uncle ruto a million times

Afadhali sasa kina kalemeno. Matiangi interdicted so many teachers ati juu mtu ametokea kwa container akiwa steam ya Jana , harufu Tu. The nigga is so egocentric!

1 Like

kama watu wanafikiria matiangi is any better mtajua hamjui. Another looter but even more dangerous. Bana wakenya imefika muda wa kuchagua watu tofauti sasa. Tuwache ujinga

3 Likes

Afandhali Matiangi hata kama bado tutalia…ntaamka kwenda kupiga kura

Kagege vipi?

Huyu amekuwa planted na Ruto plus Uhuru Kenyatta to spoil votes plus prepare him for another time Ruto akitoka.

In other news expect foiled/actual terror attacks to distract Kenyans,clear the image of the police and justify abductions.Hii regime iko desperate clinging on branches.Good thing they are too incompetent and take the public fir fools so it will backfire.


2 Likes

Ghasia nilikwambia uwache kujificha nyuma ya keyboard. Nipate langatta semetry.

2 Likes