Mathogothanio

Ingredients:
Green bananas
Potatoes
Green beans
Green maize boiled
Mutton
Liver (plus kidney)
Matumbo
Managu
Cabbage
Spinach
Hard boiled eggs
Carrots
Tomatoes
Onions
Saumu
Hoho
Dhania
Green chill
Takataka zote
Salt to taste

An hour and a half later…

[ATTACH=full]184013[/ATTACH]

Avocado check

Mzee uko sawa kabisa. Hiyo inateremka vizuri.

Hii iko under classification of ‘mathigithanio’…

Mkubwa kwani kuna “light” ama “easy” boiled eggs?? :oops: Ama ni “eggs pro” na “eggs lite” :D:D

Wakikuyu haki.Hii yote inapikwa pamoja.

Sasa hii “waKikiyu” imetoka wapi? Hata the proud house of Mumbi is represented here by one person.

Aye omonene, Rate this meal out of 10

9/10
Tamu sana

si chakula ikiingia kwa tumbo itaenda ku mix bado

I refuse to can. what taste are you biting on to?

This meal nonye nebianda ebigotama pii

Especially that boiled maize.It has spoiled the taste kabisa.

Weeeeeira minet…
You mean @Budspencer = @Kihii Kiaganu
:oops:

Ng’ombe.
Ata sheppart amekataa.
[ATTACH=full]184020[/ATTACH]

Bado paka tu…

Labda ni yeye ama alioa mwanamke wa kutoka huko akamwambukiza hii tabia.

Mahindi boilo ndio iko out

No wonder inakaa ni kama ako na marasmus

Unasumbua.
Monkey.
[ATTACH=full]184021[/ATTACH]

:smiley: