@Deorro shughulikia hio kasoro…
[ATTACH=full]75903[/ATTACH]
2 Likes
Umeingia page 1 ?
huko nitaingia next season…
Kesho kuna games poa poa
@Deorro na @Electronics4u hebu tengenezeni fixtures haraka
Mimi nimeona ziko poa
Ati ziko poa? Hebu leta screenshot yako…
[ATTACH=full]75908[/ATTACH]
1 Like
Nimeelewa mahali kasoro inatokea, Ukibonyeza Premier league pekee ipo sawa, lakini ukijumlisha mechi zote kwa kutumia ‘matches-preview’, kasoro inazuka…
1 Like
hehe nxt season but championship ni yako