matatu ina mambo....

7 Unforgiving Response from Kenyan Matatu
Conductors
1.An elderly woman complains about the music
‘Wekeni nyimbo za yesu’
Conda:Mathee,yesu bado hajatoa album
2.Pass:kuna kiti?
Conda:Hao wengine wamekalia ndoo?
3.Pass:Kuna kiti ama ni zile uongo zenu
Conda:Hehe kama ulikua unaogopa kukosa kiti si
ungebeba yako.
4.Pass:Bwana hii gari ina joto sana!
Conda:Basi shuka upande fridge.
5.Conda:Madam,kuna seats pale nyuma.
pass:Cwezi kaa seats za nyuma.Natakambele.
Conda:Kwani za nyuma ziko nje ya gari?Basi wacha
dere ashuke ukae mbele.
6.Pass:Tao ngapi
Conda:Mbao
Pass:Nko na ashuu
Conda: Iyo nunua avocado ujipake uteleze mpaka
tao.
7.Girl: Ongeza volume tuskie Mwalimu King’ang’i
Konda: Ungeskiza Mwalimu wa shule ungekua na
gari yako si kutusumbua hapa na King’ang’i.

6 Likes

that number 6
:D:D:D:D:D

1 Like

7:D

:D:D

Nimerudi 2010 aje, fuckyou skynet.

2 Likes

Leo Ni TBT. Nyang’au cheka

3 Likes

:D:D:D

:smiley:

either way majority of them are low lives

apart from the responses from conductors whats with passengers all lovey dovey inside a matatu at 11 in the morning

hio yamwisho iko sawa