Matatu for sale

Not all saccos take 2k. City shuttle walikuwa wanachukua tu 1200 pekee. Hiyo 2500 ni ya sacco kama Super Metro. Smaller saccos ask for less money. Hizi sacco kubwa kubwa ndo wanaitisha pesa mob. Actually management inakuanga pesa unalipia kutumia jina ya sacco something of that sort. A huge percentage of people wataingia gari ya Super Metro juu ya jina pekee.

2 Likes

That’s why you are advised usinunue gari mzee especially Ile hujui historia yake. Mat kama hio huwa kama ka lorry. Wanatoka hio body wanaitafutia kichwa wanaweka ka body nyuma na kuipiga rangi.

1 Like

Fyi kwa matatu KDM KDN KDK KDL hizo already ni mzee.

Bana niliona KDG nikashangaa

1 Like

Gari ni mainetance tu

1 Like

8soo hio gari unless wanauz TLB

1 Like

Yaani milaya ya kilimani inamake more than the owner of this steaming pile of shit… Hii economy ni mchezo

4 Likes

For most Sacco’s hio pesa hua ina cater for loans and savings that’s why inaonekana iko juu kuna wale hulipa thao pekee that is if mwenye ndae hana loan

2 Likes