Ni uchokozi bro
Wazi mdau. Hope you had a productive day.
Mimi nimefunga job mpaka Jan sasa ni kubangaiza na wadiki wakinitoanisha
Molar extraction na composite filling ni pesa ngapi?
Mimi ndio nataka kuquit slavery I venture into my practice. My former classmates are doing fine.
It depends if it is wisdom teeth. Lazima tufanye X-ray. If disimpacted it’s 4k bei yako. I don’t advise composite hio tufanye crowning.
Molar ni imefyekwa na cavities na filling ni hizi meno za mbele
I have made the same observation, infact siku hizi nikienda mechi, I will eat many hours before, and if you can fast 12+ hours its even better. Sijui kama ni mambo ya ketones release and all the bio systems not being distracted by digestive processes?
Hizi najua si bei ya fukara ndio nauliza cheapest filling ni ngapi na kungoa
Zi I will give you a better deal.
Be your own boss utaenjoy life even more
Kwani kusema bei ya vitu nimeuliza imekuwa ngumu aje?
Emax goes for 20k per crown but juu wewe ni morio wangu nakufanyia 15k.
Extraction na filling?
Wewe ni dokta kweli simple query si story mingi nataka.
Tukiwa prima kuna classmate aliumwa na mutina kwa haga. Kijana missed a whole term
Ati matako hiponangi