[MEDIA=instagram]Bngw303l8UD[/MEDIA]
birds of the same feather…this is their undoing.si huwa wanahongwa wacha wajikaange na mafuta yao
Shait.
noma saidi… @Nostradumbass wewe ndio kadere wasimu kabisa
umeona vile hao ma odi wametoka teke hehe lakini this youngings never learn hakuna roadtrip/awards zishai isha bila incident awards ya mwisho kuna chali alianguka kwa mat akihung ikampitia kichwa, hio roadtrip ingine bus ya githu ikaanguka, roadtrip ya masinga kuna dame alikufa
na hizo 1500 hao mavijana hutoa wapi kulipia roadtrip kaa si kuibia watu simu na kuuza
:oops:Wueh!
Hao ma ofisa walikuwa ndani ya police car watapata whiplash ya mwaka. Hii 2018 hawatombi tena
Mwenye ataumia hapa sana is the clueless owner who just saw his mat doing this while he is expecting his daily pay. Meanwhile his mat will de detained for weeks until alipie 999 repairs na pesa ya wakubwa whether he likes it or not ata kama he is a cop. The driver NTSA licence will be revoked, makanga is hot air amepotea kitambo.
Hapa ngori yote inaangukia investor
matatu drivers class of 2018. NTSA wamelala kabisaaa
Walikuwa wanachapa warm up kabla waende show ya reggae…what else did u expect
Chris Ni mtu yangu Sana wacha nim rushie sckleenchot
Monkeys vile mchinku alisema
Let’s get this clear.
So after all that madness in town the convoy of matatus and unruly passengers proceeded onto Thika road and onwards to Meru harrasing other motorists all the way and no action was taken?
Zero, nada, nothing.
This country is one long very sick joke.
Kwani hizo gari hazina number plates? Hii ni rahisi sana. NTSA/Cops impound the vehicles involed. Investors hand in the drivers and makanga the law takes its course. Gari hutaficha. Wakitaka wanaishika. Problem ni polisi hata hana haja na repairs juu gava itafix gari. Wanataka pesa ya mfuko yao binafsi. Otherwise vitu kama hizi zingekuwa unheard of
When you think you have seen it all then baam!
[ATTACH=full]192172[/ATTACH]
Wait and see the new rules that will be implemented. Kupata license ya PSV itakuwa ngori. Most likely watasema 10yrs of experience with no traffic offense and also that PSV license can be taken away from you for good. Makanga pia wataambiwa watafute license ya discipline. Matiangi is rubbing his hands with glee waiting to tomba these fuckers.
Mwenye hio nganya saa hii ananyamba , possible charges;
Reckless driving
Causing an accident
Failing to report an accident
Driving a motor vehicle with worn out parts ( hizi madoido sheria haitambui.
Expected minimum fines in all charges sio chini ya 100k and i can bet on that.
Na kama mwenyewe ni mmoja wenyu?!
Anyway it’s a good thing the police can have a taste of what majority of motorist and passengers go through on an almost daily basis!
In short kuleni ujeuri yenyu!