Being the man of the house mathe alinituma nipeleke gari yake wabadilishe rack joints gear box oil then ifanywe service na wheel balancing na alignment.
So after hii process yote nilichapisha ndai ka road test nione kama iko sawa before niingie kwa mansion.
Kwa roadie nikaona jirani yangu nikaamua nimpee lift juu huwa tunapatana naye games za Bake.
Bana ninja alianza maswali.
- Hii gari ulinunua pesa ngapi.
- Unafanya kazi gani. Na unalipwa ngapi
- Sijui sizing na kuendesha gari nyinyi hupima aje.
- Hii tv yako bado ni ya kichina.
- Insurance ni tpo ama 1st party.
Bana maswali zikanikazia nikaongeza volume na mimi hupenda reggae.
So nilidhani atanyamaza ninja ikaniambia niweke Amapiano sikuona tukifika ashuke.
After that encounter sipeani lift then