Kuna base flani pale nyuma ya Kenya Comfort hotel inaitwa Migingo.Huko ni kama ki trading centre kidogo mostly ni ma kiosk za kuuza food, electronic shops,salon,kinyozi etc.Siku moja after kujibonda lunch nikaamua kuingia kinyozi kushave.Kinyozi after kumaliza ndume ikaanza kuni massage kichwa.Ile macho nilimwangalia na kukunja sura nilimwangalia nazo ilibidi amewacha.Akawacha akachukua spirit kwa mkono yake ndio aniwekee kwa kichwa nikamshow situmiangi spirit,kata ndimu unipake law kichwa ghassia!Jamaa aka gwaya.Situmiangi ndimu but niliskia ndimu huwasha kuruka.Ilibidi nimwambie hivyo ndio ajue ana deal na 100%straight ndume asiwai jaribu hio ujinga ya kumassage ndume mwenzake tena.
Gaaaaay
yes, if its pure professional massage for a medical reason, like post accident recovery