Masks are back

[MEDIA=twitter]1538840762867122187[/MEDIA]

Bure kabisa hii mutahi. lakini watu wakiwa campaigns wasivae. We are past fearing corona tuko na stress ya unga na mafuta ya kupika so covid is the least of our worries.

Kwa nyinyi watu wa town. Huku ocha hakuna mtu hushughulika mambo ya mask. But nilikua nimezizoea hadi when I stopped wearing one it felt odd.

Bora uchaguzi ifanyike 9th.

Hizi masks hazifanyi kitu because rona is not airborn. For those who know watajua how it came about because the first casualties of rona would have been smokers.

Uko ocha gani buana,is that a place I can build a log house.
I want to go to ocha since my work is wholly remote

True…proven fact…ukitaka kuvaa mask vaa zile gsu huvaa wakitupa tear gas…those are actually NEAR protecting from covid

@Thirimaii Kuna place naweza kuuzia sides za nyeri Kuna stima na maji…life is cheap as fuck…solar ni Kali kunaitwa kieni never new pops had a shamba those sides till he gave me a tiitle…shida ni wasee wa uko hawajui story ya kuchokorwa matako

@Fundi wa redio umepewa booster shot?

I will t3ach them,Nasikia sifa za huko,lakini Kieni iko Nyeri au Laikipia

:D:D:DSome parts nyeri some parts laikipia

Land officials wa pale Nyahururu karibu wa badilishe document za shamba ya rafiki yangu…hizo shamba zinageuzwa title sana…enda uone yako kama bado iko

6th wave? What happened to third fourth and fifth?

Advice kidogo Kutoka mtu amebuy tu plot kathaa(I think that’s why my parents gave me a title ju hakuna sibling mwingine amepewa)nunua kutoka owners wa kwanza ama Kama Mimi niligeuziwa wakiwa hai…most peeps only have certificates

Kama hauja dungwa uska dungwe vaxxin…to many issues Niko apa na ata huduma namba siku apply… don’t trust this gafment

Yaah those guys target land which they know the owners have departed halafu wana tafuta kazee kaseme ndio the owner,they then forge documents …nilienda Kieni ya Ndaragwa ,watu ni machozi tu,the land being in shares inatoa plots mingi sana,so watu wako na pesa wananunua na kuuza plots

Very true I game Iko Kenya mzima they have even roped DCI and kps…like I said tafuta watu walinunua kitambo…wanajulikana…if you do due diligence ata izi plot ziko kwenyu neibas wenye walijenga apo tene wanajua wenyewe shida ya SI wakenya ni cheap price na tamaa

Which variant are we facing now ?, the sh!tshow is about to begin, tutarusha kura na mask, hapa rigging will be of industrial scale.

Mujamaa endea hio ndugu yetu srowry

Nangonjea booster shot Mdau