So leo nikiwa pale kwa matatu si boy child ametulia kwa kiti fiti…FF in comes two ladies si story zao zimeshika all of a sudden topic changes to ARVs helping you gain weight even if you take them when negative…one of then even goes ahead to give a testimonial " unaona jemo wa caro si yeye hutumia arvs kuongeza weight ata caro mwenyewe alinisho"
shook mee only had two questionso_O:rolleyes:
are these claims true???
if you take these arvs when negative si immune yako inakuwa weakened since hakuna kitu zinafight .
Human beings are mad creatures. They can take anything to gratify their sick minds. Juzi niliingia pub fulani nikakutana na kijana fulani akikunywa cocktail ya black keg+legend+Popov. Na bado alikuwa anatumia Miraa na sigara. We! Wacha tu.