Kuna time me and some renegades were exiled from this village alafu mboy fulani anaitwa @west akatujengea a make shift village ndio tusichomwe na jua sana.
Ile kijiji ilikuwa a no holds barred village… Yaani anything goes from gory images to pornoste zile hadi ikusde inaonekana ikipigwa kigongi na mchwadez live and direct na hakuna cha thread kumalaysia.
Lakini siku moja ule mdosi West akasema he needs one more moderator to add to his band wagon juu wale Chinese parasites walianza kuvamia ile kijiji sana sana usiku. So West was looking for a mod who was based abroad.
Manze kiroho safi tuka nominate sufferah mwenzetu Jaymoh from Dubai ashikilie ile post. Msee akapewa. At first he was ule msee… Yaani mtu wa watu. Kidogo kidogo power got to his mungiki head.
Msee just changed abruptly. Na post thread explicit kama kawa napata inatolewa banae. Hata ule butcher man was not left out… Akitusi Raila inangolewa… Mimi nikitusi Uhunye pia inatolewa.
It got even worse… Msee started giving us warnings pale inbox… I remember one msg he sent me… He told me ati jaribu kupost hizo ujinga zako tena ujipate Siberia… Just imagine… Mtu tumesaidia apewe cheo sasa anatugeuka. And true to his word msee alinituma siberia not once or twice but thrice banae… Even one was a permanent ban.
Hapo ndio nilijua manze maskini akipata matako ulia mbwata. Sio poa lakini.