Mashudu(Sunflower seedcake) toka Tanzania

Jamani, kuna mashudu ya alizeti,(Sunflower seedcake) yanapatikana Biharamulo, Tanzania. Approx 400 km kutoka sirari border.

Price fob:400 Tzs/kg
Available stocks- 500 bags (100kg per each)
Contact: WhatsApp +255676266814
Payment terms: Full payment after checking the goods

Lazima ungesema jamani

Picha

Wewe wauza 23/- Tanzania na mtu ajigharamie transport, na Kenya seedcake inauzwa 22-25/-? Why come to you jameni? Whats your value?

A good question :interrobang:
Indeed!
Katika dunia ya trading hasa katika product ni tofauti.
1: misimu(season) za harvest hutofautiana kwa agri products.
2: Local demand pia husababisha na sustainable source.
Vietnam anaproduce raw cashewnut zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka, lakini huwa anakuja africa kununua in different countries kwa different prices.

3:Nenda katika local supermarket utakuta local produced products na imported zinauzwa pamoja.

Twende katika advantage ya kununua kwangu
1: Utapata sustainable source
2;Quality ni nzuri
3: Availability of transportation 24/7

Most clients are animal food processors and suppliers.

With annual increase production of over 20% per annum this is the potential opportunity to you.
I advise you to come and check :heavy_check_mark: the goods.