how is everyone doing…sparta yuko fiti thou l miss my queen Lola…wasee wa prediction kings poleni sparta ako sabbatical kiasi anarudi next week
leo nimekumbuka heka fulani, wacha ni wachapiye
sparta alikuwa amehamia keja mpya ilikuwa fourth floor, l was new in the mtaa sikuwa najuwa ata weed mtu hubuy wapi?
sparta nika ingia phonebook kuangalia nani naweza ita ni bust a nut in the new man cave,
effort zote zikachapa ukutaa,so nika amua wacha nifanye usafi, nitakawasaki badayee
sparta nikafua vest na shirt kadhaa nikaenda uko rooftop watu wana anika nguo,nikapataa line iko empty so nika anika bila wasi wasi na kurudi kejani offcourse kukawasaki
after like an hour nikapanda juu kucheki vest kama zimekauka juu solar ilikuwa imewaka sana
kufika napataa nguo zangu bana zimewekwa chini,na fala imeanika nguo zake kwa iyo line:mad:
nashanga nani uyu ana umama ivi kuweka nguo zangu chini, iyo ni madharau gani:eek:
nikaboeka sana nikachukuwa nguo zaangu zimejaa mchanga,lakini kufika kejani nikaona uyo mtu amenibeba ufala sana
nikarudi juu na kisu kukataa all lines na kuangusha nguo zote
ata zile zilikuwa zimekauka chini…
wacha mathee moja anionee anashout wewe kijana nini unafanya?
nikamshow mathee nakamua ngombeo_O
watu waka anza kuchungulia…wakitoka nje
ile mathaa iliangusha nguo nikajuwa,juu ilikuwa apo na perepere ikiokota zake
nikamuliza mbona uliangusha nguo zangu,
fala inajibu iyo line huwa ni yangu ni mimi nilinunua
nikamshow mathee iyo madharau haifai atakidogo,
nyangau inajibu wacha bwana yangu akuje
apo nilikuwa tayari kuface mtu anatakaa tuende one two ngumi
nikawashow niko fourth floor do no 28 mtu ananitakaa niko uko
na nikawawacha uko juu wakinugunika
kufika kejani nguo nikaziweka kwa bafu na nikaweka reggae full blast
wacha drama badayee naskia knock kwa mlango…napataa kibuda apo sura mbaya
budda …kijana ni wewe naskia unakata lines za bibi yangu za nguo?
sparta…yeah ni mimi:mad:
buda anajaribu kunivuta nje? :eek: kwanza naona amekuja na back up ya fellow jirani’s
apo ndio nikajuwa apa nikijifanya softy watanibeba ufala …nikarudisha mlango nikafunga
nikaenda nikachukuwa nyundo then nikafungua mlango:mad:
kutoka nao wakapiga mtu step moja nyuma…
buda anajaribu kuniambia kijana u will regret this,
nami nikajifanya mangaa mimi sipendi madharau ya utoto…
buda alikaaa halafu akaenda, got a call from caretaker nikamueleza vile kume enda, caretaker akanishow uyo mathee hukuwa na ufala sana.
next day jioni ati wanaitana meeting…izo ufala ndio sparta haendangi
sasa wacha siku moja tupatane na uyo buda kwa stairs:D:D the awkward moment and silence
izi mashida za peasant ni mbaya sana:D