Mashemeji derby

Tuko ground supporting ingwe. Wekeni predictions. Naona ikiisha 1-1
[ATTACH=full]493090[/ATTACH]

Sisi tuko Jacarada

Hio graond Iko empty kwani ni zoezi.

Ni hio side tu. Turnout fiti. But substandard football as usual

Normal and Vip Tickets huwa how much ?

Hii game ju ni derby kubwa VIP 1000 normal 500. But other games ni half of that