Masheji derby

[ATTACH=full]63892[/ATTACH] [ATTACH=full]63893[/ATTACH]

IDIOTS DERBY

iyo ni nyama wanachezea…

I don’t care

meanwhile kamjesh ya #maureenyoh tuko shambamba…tuko certain hii hatufungwi [ATTACH=full]63895[/ATTACH]

Hii ni moto hizi jaruo zina game leo.

from the title, did you mean mashemeji or mashenji

Mashenji is more like it :D:D:D:D

hiyo jina kwa Jersey ya blue ni Yvonne Khamati ama?

yes its her

She’s angling for an elective seat in Nairobi most probably a women rep. That’s why.

nasikia huwa anagawa slices bila kupima

leopards tuko ngangari .

Hujaenda kutupa Mawe?

Jaruo ndio huwa zinatupa

Hizo slices zinapewa wapi, nipate zangu kabla ziishe

wakamba hamujui kuchukua slices

tunangara na hii mraiya leo…