Kwani wewe ni makanga ? Seems every new nganya or bus uko na copy . So you also double as kamangera besides stealing your mom’s money
Kwani wameanza kusota. I thought mash wanacheza na Scania pekee yake.
I also was wondering although tangu 2020, Isuzu pia imekuwa ikitoa some turbo charged engines hatari sana… although Scania suspension is way better for passenger comfort… ama zile chinese buses. Isuzu bana ni kama kubebwa na tipper
Those chinese buses Yutong quality wise ziko chini.
Ni kama Toyota Coaster hizi imported husumbua sana.
Mercedes za Easycoach ziko chini hadi unaona ziko na dents chini.
In short every bus has its own problems just learn to live with them
Makanga mumejaa kijiji. Lakini kazi ni kazi
Alar, what are you saying?.. those Yutong buses can only be matched by performance and comfort, na Scania… nashuku pia economy iko chini vile inafaa… I have boarded a few zile za tahmeed, in the past, and I have no complaints in comfort and speed, unlike Isuzu manze na hizo leaf spring unafika kama mgongo imevunjwa, thank God nilipita hiyo stage…
Btw correct me if iam wrong kuna mash poa na mash cool. So standards ni tofauti. Juu kwa kikosi niliona i think Marco Polo.
Ndani kuna VIP na business seats.
Ata sijui mdau… I just know kulikuwa na hizo za white za kuchapa long distance from Msa-Ksm/malaba and then there was Oxygen zilikuwa na Aircon hatari sana… and luxurious, with airshocks. usually colored either black green or red/maroon.