masaibu

demu wangu miscarried triplets, it’s tough for me as it is for her but she thinks am having an easy time. nikitoka hassle mara nyingi nalaumiwa, chakula napata kiliisha na nikiuliza naambiwa kuwa eti lazima niwe nilikula vibandani. kulala ni balaa, asema nalala vibaya licha ya kuwa i’ve been sleeping like this (diagonally na kujikunja) for long bila ishu. yes she miscarried, am equally affected but i feel as if am at the receiving end. hii hali sijui yaisha lini…

This sounds like a sweet script ya pale real talk on switch Tv

If its true, your girl needs some love, more support. Take her out and reassure her.

sio kupenda kwake. You need to understand her more and appreciate her. it could be due to the depression caused by the the miscarriage. You need to talk to her more and tell her that better days are a head. meanwhile pole for what you are going through

Its natural after a woman loses a child to undergo depression. Have her seek professional help from a psychologist.

Kuwa na utu mzae.

[ATTACH=full]223346[/ATTACH]

Hapana. Hapa kuna vile. Huyu ndoa yake itavunjika kama ataishi kubebwa hivi. Mama akikwambia ule vibandani? Kumanina zake. Aende.

Just be there for her. Don’t rush her, she will come around after the grieving period.Ata kama ni kupunguza hustle you be there na yeye mdau.

Do you have a wife?

Ndio.

hakutaka uterus yake imwage ovyo ovyo vile vile hukutaka tujue ujinga wako mahali umefika lakini vidole zako zikaharakisha mbeleni kutujulisha upumbavu.

vitu zingine binadamu hawana uwezo juu yao, sawa sawa cretin?

Lucky her. She has “a real” man

Ukona hasira nyingi brathe.

triplets!!!

@Bingi she is taking out the anger on you achana nae. give her space atajirudia baadae.

lala kwa sofa, pika chakula yako na ubakishe

:smiley: Wacha kunienjoy

its very unfortunate both you lost something so precious however you should grieve together tell her to her face you are not happy, afterall wewe haukumtoa mimba. just so not choose to be the punching bag

Buda, inafaa iwe the other way round, anafaa kufeel ni fault yake kumiss watoi pengine kama ulikuwa unamchapa mangumi za tumbo.

Inamaanisha hata hakupatii vitu mjaribu kuunda mtoi mwingine.

Manze umekuwa weak kwa iyo relationship yako. Kushi na manzi/bibi stress anabehave ni kama amegundua faults zangu jana iyo haiwesmake.

Yeye ndio anafaa awe analia unambembeleza na sio kuku blame

Mpeleke counselling. Kuna high chance mtabreak up dame akiget miscarriage